Romans 15:12

12 aTena Isaya anasema, “Shina la Yese litachipuka,
yeye atakayeinuka ili kutawala juu ya mataifa.
Watu wa Mataifa watamtumaini.”

Copyright information for SwhKC